Nauza gari toyota ist

Iko na cc ngapi?
Je imetembea kilometers ngapi?
Na iko mkoa gani?
 
Wakati mwingine kama unafanya biashara lazima umanishe na ujiweke kwenye mazingira ya kuaminika, milioni ni hela nyingi si sawa na kipindi cha laki si pesa.
Hizi picha zimepigwa stend, hivi unadhani wenye nia ya kununua watakuamini?

hata hivyo kila la heri!!
 
JF bhana mtu anasema anatoa 6.5 ukimwambia sawa njoo tufanye biashara anakimbia.
 
JF bhana mtu anasema anatoa 6.5 ukimwambia sawa njoo tufanye biashara anakimbia.

Hahaha, ukikutana na Chinga anakwambia nguo ni sh 20,000/-, ukamwambia chukua 10,000/- akakubali bila kubisha unatoa?
 
Hahaha, ukikutana na Chinga anakwambia nguo ni sh 20,000/-, ukamwambia chukua 10,000/- akakubali bila kubisha unatoa?
Hii yako ni tofauti na ya jf yani hapa mtu anakwambia kama hapo ana 6.5 ukimwambia poa lete tufanye biashara anaingia mitini.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…