Halafu hii kitu inaboa kishenzi,waambiwe mara ngapi?
Unapouza asset yako weka bei,contact zako ikijumuisha unapo ishi,mahali asset ilipo na upige picha pamoja na specifications nyingine.
Tuacheni umburula!!Mambo ya kuni PM PM hapa ni kupotezeana muda,yawezekana ukiona picha ama bei utakuta haina hata haja ya kuku PM.