Toa zaidi details za gari..
Odometer inasoma Km ngapi?
Imesajiliwa kwa namba A, B, C, au D?
Hali ya hizo tairi ikoje? (Kwa mbali naona kama kipara).
Uliwahi kufanya over-haul ya engine?
Toa details hizo mkuu, na kama inawezekana ongeza picha tuone hata ndani interiors zikoje, hali ya seat covers, etc.