Sasa kama hakuna documentation alitaka akuuzie kanyanga au?...ulipomuuliza ako na thinking gani mpaka atangaze biz isiyo na document alikua ana implication gani what was his response?
Angekua yuko hapa Nai tungewaita makarao waje kumtight..

ndio,na najuta kupoteza muda wangu,gar haina card wanadai ilipotea nikamwambia twende TRA kagoma sasa kweli huyo anania ya kuuza hio gar au anainjoi watu?