Fakharu Member Joined Nov 9, 2013 Posts 60 Reaction score 2 Mar 4, 2014 #1 Nauza gari kwa bei nafuu kabisa,landcruser,ipo tanga kwa maelezo zaidi piga number hiii 0787108200
gimmy's JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 3,358 Reaction score 3,421 Mar 4, 2014 #2 Watamanishe wateja kwa bei na picha,hio ndio business mkuu vinginevyo utakwama
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Mar 4, 2014 #3 Ndio maana gari zinawekwa show room/yard ili watu wazione. Ni vizuri ukileta JF ukaweka na picha ngalau wateja wavutiwe na muonekano kabla mengineyo hayajafuata.
Ndio maana gari zinawekwa show room/yard ili watu wazione. Ni vizuri ukileta JF ukaweka na picha ngalau wateja wavutiwe na muonekano kabla mengineyo hayajafuata.
mkonyezaji Senior Member Joined Jan 22, 2014 Posts 154 Reaction score 20 Mar 4, 2014 #4 Weka picha mkuu, au ni chakavu sana
Immortal_MH JF-Expert Member Joined May 14, 2013 Posts 1,240 Reaction score 2,252 Mar 4, 2014 #5 Lexcus ndiyo gari gani hiyo? mbona unaandika haraka haraka kama unawahi mahindi ya msaada