nina shida sana ya hela ya haraka, nauza Gari yangu bei ya bure 4.5ml na maelewano yapo ni namba A iko kwenye conditions nzuri sana, mwenye kuhitaji serious anipm
Pia kwa kuongezea hapo ni kwamba ni mhimu kujua kwanba si kila mtu anayetembelea ukurasa huu amesajiliwa ukisema lazima mtu aje pm kuna wateja utawakosa maana hukuweka hata namba ya simu,ni ushauri tu.