Kwa anayejua magari, gari kama hilo hauwezi kuiuza zaidi ya milion 3 kwakuwa ni ya zaman ila kwa ubora ni gari ngumu sana watu wa mikoani wanazijua, na nimeweka bei hiyo kwakuwa mimi ndio mmiliki sina bei za tamaa ndo maana gari zote niliouza humu bei zangu huwa ni rahisi ila nikibugi kumpa dalali aniuzie ndo ataanzia milioni 4 ili na yeye apate!Mmmmhhhh.... Pandisha bei kidogo ukitaka kuiuza... Anza walau 4m. 2m watu tutaogopa
Nyie binadamu shida Sana mtu akiuza bei juu mnalalamika akiuza bei ya chino mnalalamikaaMmmmhhhh.... Pandisha bei kidogo ukitaka kuiuza... Anza walau 4m. 2m watu tutaogopa
ni AUTOHii gar nzur sana nilikuwa nayo miaka 3 iliyopita. Vip ni auto au manual?
Duc in Altum
[emoji3]Mmmmhhhh.... Pandisha bei kidogo ukitaka kuiuza... Anza walau 4m. 2m watu tutaogopa
Kwa anayejua magari, gari kama hilo hauwezi kuiuza zaidi ya milion 3 kwakuwa ni ya zaman ila kwa ubora ni gari ngumu sana watu wa mikoani wanazijua, na nimeweka bei hiyo kwakuwa mimi ndio mmiliki sina bei za tamaa ndo maana gari zote niliouza humu bei zangu huwa ni rahisi ila nikibugi kumpa dalali aniuzie ndo ataanzia milioni 4 ili na yeye apate!
Ambacho hujaelewa ni nini?Hapo dar ni dubai? sio mkoa?
mkuu naweza kuendesha hadi mbeya nikafika bila shida yoyote...mi naishi mbeyani AUTO
unawezamkuu naweza kuendesha hadi mbeya nikafika bila shida yoyote...mi naishi mbeya
Ambacho hujaelewa ni nini?
Rais mwenyewe, alisema Dar ndio Tanzania!
Kama si kutafuta kujuana na mafundi wa gereji ni nini..Gari iuzwebbei hiyo na boxer pikipiki iuzwe bei gani..??aiss watu washindwe tu kuendesha magari...bei karibu na buree
bado haujakua na ukikua utaacha na hii ni gari yangu ya tatu kuuza humu kwa bei kama hizo na kitu kinachokusumbua ni umaskini wa fikra!Kama si kutafuta kujuana na mafundi wa gereji ni nini..Gari iuzwebbei hiyo na boxer pikipiki iuzwe bei gani..??
Hongera kwa kudhani kila anayesema tofauti na unavyofikiri basi ni mtoto...bado haujakua na ukikua utaacha na hii ni gari yangu ya tatu kuuza humu kwa bei kama hizo na kitu kinachokusumbua ni umaskini wa fikra!
Hongera kwa kudhani kila anayesema tofauti na unavyofikiri basi ni mtoto...
Anyway weka gari ya mwaka gani..
Weka lini gari limeingia Tanzania...
Acha kusumbua watu,wewe sio mteja.Kama si kutafuta kujuana na mafundi wa gereji ni nini..Gari iuzwebbei hiyo na boxer pikipiki iuzwe bei gani..??