Amani 2015 Member Joined Dec 28, 2014 Posts 82 Reaction score 14 Oct 28, 2016 #1 .....Nauza fridge aina ya Lg limetumika miezi minne.. Nipo Dar es salaam... Bei ni 500,000.. Nimeambatanisha picture zake kwa chini... Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607.. Karibuni Karibuni
.....Nauza fridge aina ya Lg limetumika miezi minne.. Nipo Dar es salaam... Bei ni 500,000.. Nimeambatanisha picture zake kwa chini... Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607.. Karibuni Karibuni
naan ngik-kundie JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 1,766 Reaction score 2,437 Oct 28, 2016 #2 Mkubwa Kwanini uuze? Au kwako Huna vitu vya kupooza? Na kama Huna Kwanini ulilinunua? Na kama ulinunua bahati mbaya Kwanini uuze bei ya kutupa hivyo?
Mkubwa Kwanini uuze? Au kwako Huna vitu vya kupooza? Na kama Huna Kwanini ulilinunua? Na kama ulinunua bahati mbaya Kwanini uuze bei ya kutupa hivyo?
S Smartbeing JF-Expert Member Joined Apr 7, 2014 Posts 323 Reaction score 426 Oct 28, 2016 #3 Ina tatizo gani? au wewe ndo una tatizo?
Amani 2015 Member Joined Dec 28, 2014 Posts 82 Reaction score 14 Oct 28, 2016 Thread starter #4 ...Wakuu nimepata fridge kubwa zaidi hii haitumiki tena... Ni nzima nakupa na guarantee ya mwaka mzima
...Wakuu nimepata fridge kubwa zaidi hii haitumiki tena... Ni nzima nakupa na guarantee ya mwaka mzima
Amani 2015 Member Joined Dec 28, 2014 Posts 82 Reaction score 14 Oct 28, 2016 Thread starter #5 naan ngik-kundie said: Be the first to reply Mkubwa Kwanini uuze? Au kwako Huna vitu vya kupooza? Na kama Huna Kwanini ulilinunua? Na kama ulinunua bahati mbaya Kwanini uuze bei ya kutupa hivyo? Click to expand... ....Mkuu hii haitumiki tena.. nimepata fridge kubwa zaidi ya hiyo ndio maana nauza hii ndogo.. Nakupa na guarantee ya mwaka mzima
naan ngik-kundie said: Be the first to reply Mkubwa Kwanini uuze? Au kwako Huna vitu vya kupooza? Na kama Huna Kwanini ulilinunua? Na kama ulinunua bahati mbaya Kwanini uuze bei ya kutupa hivyo? Click to expand... ....Mkuu hii haitumiki tena.. nimepata fridge kubwa zaidi ya hiyo ndio maana nauza hii ndogo.. Nakupa na guarantee ya mwaka mzima
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Oct 28, 2016 #6 Oooh, ngoja waje kununua maana awamu hii ya tano kwangu pakavu
Amani 2015 Member Joined Dec 28, 2014 Posts 82 Reaction score 14 Oct 28, 2016 Thread starter #7 Smartbeing said: Ina tatizo gani? au wewe ndo una tatizo? Click to expand... Haina tatizo lolote mkuu. Nimepata fridge kubwa zaidi ya hiyo hivyo hii haitumiki mzee... Natoa na guarantee ya mwaka mzima
Smartbeing said: Ina tatizo gani? au wewe ndo una tatizo? Click to expand... Haina tatizo lolote mkuu. Nimepata fridge kubwa zaidi ya hiyo hivyo hii haitumiki mzee... Natoa na guarantee ya mwaka mzima
naan ngik-kundie JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 1,766 Reaction score 2,437 Oct 28, 2016 #8 Amani 2015 said: ....Mkuu hii haitumiki tena.. nimepata fridge kubwa zaidi ya hii ndio maana nauza hii ndogo.. Nakupa na guarantee ya mwaka mzima Click to expand... Sawa boss kila la kheri.
Amani 2015 said: ....Mkuu hii haitumiki tena.. nimepata fridge kubwa zaidi ya hii ndio maana nauza hii ndogo.. Nakupa na guarantee ya mwaka mzima Click to expand... Sawa boss kila la kheri.