jimmy jay jay
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 223
- 39
habari wakuu,hapa nauza freezer langu ambalo limetumika miezi miwili tv kwa sababu nahitaji hela haraka ambae anaihitaji anipigie:
0719105823
Habari wakuu,
Hapa nauza freezer langu ambalo limetumika miezi miwili tu kwa sababu nahitaji hela haraka. Ambae anaihitaji anipigie: 0719105823..
niko buza/ni freeze aina ya super general/volum ni 200L/bei ni 550000/=KARIBU
buza ni tanzania?
Buza Kwa Lulenge
bei nimepunguza 500000/=na transport nalipa mimi maana nahitaji pesa karibu