T teflon_1880 Member Joined Jun 14, 2016 Posts 49 Reaction score 12 Mar 13, 2018 #1 Habari Nauza vitu vifuatavyo vina upya wake na kila accessories zake zilizokuja navyo kutoka dukani Samsung Smart Flat Screen inch 40 kwa Tshs. 1.3M Fridge westpoint kwa Tshs. 650,000/= Microwave kwa 150,000/= Mwenye Uhitaji naomba nicheck inbox tufanye biashara napatikana Dar es salaam.
Habari Nauza vitu vifuatavyo vina upya wake na kila accessories zake zilizokuja navyo kutoka dukani Samsung Smart Flat Screen inch 40 kwa Tshs. 1.3M Fridge westpoint kwa Tshs. 650,000/= Microwave kwa 150,000/= Mwenye Uhitaji naomba nicheck inbox tufanye biashara napatikana Dar es salaam.
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,206 Reaction score 7,358 Mar 13, 2018 #2 Shusha bei fridge hiyo nichukue, nitolee 500,000 nikupe 6,000,000
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Mar 13, 2018 #3 bei ya friji ni 6.5M au umekosea?
Ambition plus JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 6,403 Reaction score 12,019 Mar 13, 2018 #4 6500000/=???????
T teflon_1880 Member Joined Jun 14, 2016 Posts 49 Reaction score 12 Mar 13, 2018 Thread starter #5 Typing error..
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,508 Reaction score 13,975 Mar 14, 2018 #6 Ulikuwa unakaa nyumba ya kupanga? Maana microwave unaweka juu ya friji badala ya juu ya marble jikoni? BTW: Bei zako zipo juu,zama zimebadilika. Usimind!!
Ulikuwa unakaa nyumba ya kupanga? Maana microwave unaweka juu ya friji badala ya juu ya marble jikoni? BTW: Bei zako zipo juu,zama zimebadilika. Usimind!!
F frnk Senior Member Joined Jun 19, 2012 Posts 160 Reaction score 12 Mar 14, 2018 #7 Kwa zama hiz Mkuu hzo bei si rafik kabisa.. Just a piece of àn advice
Uduvi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 738 Reaction score 521 Mar 14, 2018 #8 teflon_1880 said: Typing error.. Click to expand... Punguza bei ya fridge tufanye biashara
T teflon_1880 Member Joined Jun 14, 2016 Posts 49 Reaction score 12 Mar 14, 2018 Thread starter #9 Uduvi said: Punguza bei ya fridge tufanye biashara Click to expand... njoo inbox boss unambie una kiasi gani
Uduvi said: Punguza bei ya fridge tufanye biashara Click to expand... njoo inbox boss unambie una kiasi gani
M mwambezi Member Joined Nov 9, 2016 Posts 95 Reaction score 19 Mar 16, 2018 #10 Kula laki tatu friji.
K kamasultra Member Joined Mar 10, 2018 Posts 44 Reaction score 35 Mar 16, 2018 #12 Boss hii fridge mpya dukani ni 510k mbona unauza bei kubwa na umeshaitumia
C chakapori Senior Member Joined Jul 3, 2016 Posts 107 Reaction score 151 Mar 23, 2018 #13 Microwave vunja bei tubonge
B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,846 Reaction score 2,401 Mar 23, 2018 #14 Tv kuna laki 6
Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 Mar 30, 2018 #15 Tv laki 5.5 haiyofika saa 10 jioni leo
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,149 Reaction score 190,641 Mar 30, 2018 #16 Hilo Tv bei yote hio na sio smart si bora nikanunue inch 49 ya TCL android tv
beauty in me Senior Member Joined Dec 27, 2017 Posts 161 Reaction score 134 Mar 30, 2018 #17 Microwave used zinauzwa hadi elf 70 wewe unauzia bei ya dukani
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,317 Reaction score 13,758 Mar 30, 2018 #18 beauty in me said: Microwave used zinauzwa hadi elf 70 wewe unauzia bei ya dukani Click to expand... Mtoto mzuri njoo tutete PM!
beauty in me said: Microwave used zinauzwa hadi elf 70 wewe unauzia bei ya dukani Click to expand... Mtoto mzuri njoo tutete PM!
terrat JF-Expert Member Joined May 6, 2015 Posts 204 Reaction score 100 Mar 31, 2018 #19 Nahitaji fridge, niko Arusha, natoa laki nne chap, kama uko tayari njoo inbox
progzo Member Joined Feb 21, 2017 Posts 88 Reaction score 53 Apr 1, 2018 #20 Mbona umeumekuja na bei zako za mlimani city!