Nauza feni kwa bei poa

Nauza feni kwa bei poa

Jeny faraji

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
164
Reaction score
34
Feni bado imara na mpya. Bei 45,000
Nipo Dar es salaam kwa atakae hitaji nitafute namb >> 0766166483
 
232bbe102bf3524b7eb90bfad40f0924.jpg
 
Basi ungeweka picha ya zote ili wateja wajichagulie inayowafaa...
Apana naanza nahiyo coz ningeweka zote binadam nyie hamna jema mgeshasema mara ooh ww ni mtengeneza fen mbona fen nyng hvo, mara ooh umezipanga kama maandazi mara ooh kama sokon! So nunueni kwanza hyo afu ntaweka na nyngne
 
Basi sawa... ngoja nikuache na wateja wako...

Mi napambana na kiyoyozi changu huku shambani Mpitimbi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom