Nauza eneo msata.

Sungura dume

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2016
Posts
574
Reaction score
529
Nauza eneo lipo msata ni karibu kabisa na Barbara kubwa umeme upo karibu sana na pia maji ni karibu sana ya dawasco. Bei ni million sita na nusu eneo ni kubwa. Karibu dm.
 
Eneo ni kubwa karibu PM pamoja na picha.
 
MSATA ipi??
Milioni 6 eneo kubwa. Ukubwa gani huo?
 
Ungefanikiwa kutaja ukubwa wa hilo eneo (badala ya nadharia kwamba kubwa) ingefaa sana
 
Duuuh.... Ekari 12 kwa milioni 6..!? Mbona chee hivo....
 
Kama huuzi sema tu?

Unaulizwa hujibu!
Details zako hazieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…