Bei: Tsh 3,000,000
Ukubwa: Hekari Moja (70m X 70m) eneo ni tambarare kabisa..
Lipo kijiji cha Kikongo 7km kutoka Mlandizi mjini (Barabara ya Morogoro), 57km kutoka Ubungo.
Lipo karibu na Barabara ya kuelekea Stesheni ya Mzenga ambayo inajengwa kwa kiwango cha lami.
Barabara ya kuingia shambani ipo, hivyo unafika mpaka shambani kwa gari.
Lipo karibu na eneo la makazi ya watu, jirani kuna shule na Pia Zahanati ya Kijiji.
Lipo karibu sana na Bomba la maji la kijiji. Pia Umeme upo Mita chache kutoka shambani.
Linafaa kwa Kilimo, Makazi, kujenga Godown, Hoteli, Mabanda ya Mifugo n.k
Udongo ni mzuri na nimewahi kuotesha humo mihogo, limeshasafishwa na kung'olewa visiki.
Mazao yanayostawi: Mahindi, Mihogo, Mananasi, Mapesheni, Mbaazi, Mikorosho n.k
Pia jirani kuna mradi wa Bwawa la samaki, Shamba la maembe ya muda mfupi, na Michungwa.
Pia jirani kuna shughuli za ufugaji wa mifugo kama kuku, Nguruwe n.k.
Pana usalama wa kutosha kwa mali zako.
Lina miti kadhaa ya Mikorosho.
Sipendi kuliuza ila ni kwa vile tu nakosa muda wa kulisimamia, hivyo nataka nielekeze nguvu kwenye shughuli ninazofanya sasa..
Simu: 0688 382 415
Mimi ndiye mmiliki halali na vibali vya umiliki nitakupatia kwa mujibu wa sheria na taratibu za Serikali ya Kijiji.