Nauza Bumbell za mazoezi
KG 4 bei 40,000/=
KG 8 bei 45,000/=
Material chuma laini.
Faida/Kazi yake
1)Unatimia kwa mazoezi hasa ya mkono kujaza mkono (Biceps na Triceps)
2)zinapunguza mkono (nyama uzenge za mkono) kwa wanawake
2)zinakata tumbo/punguza tumbo nakutengeneza Sixpacks(ABS) au tumbo flat lisio kitambi.
3)zinatengeneza Wings (mbawa za mikono) hapa unakuwa na V-shaped body.
4)inatengeneza Shoulder
5)zinatengeneza miguu yaani kupiga kama skwashi nk
Inategemea jinsi utavyozinyanyua ndio utakuwa unatengeneza sehemu husika ya mwili.
Ila unaweza kufanyia mazoezi ili kupunguza mafuta tu na kutokuongeneza chochote inategemea na unavyopiga pia.
View attachment 1328876
View attachment 1328877
Sent using
Jamii Forums mobile app