Nauza used desktop dell(pichani).
Hard disk 40GB
Ram 512MB
Processor 2.8Ghz
DVD Rom.
Pentium 4
Nb. Haina screen. nakupa kompyuta, mouse, keybody na cable zake tu.
Bei ni shilingi elfu themanini na tano tu.
Waweza piga au kutuma mesj
0718 964795
Mhuuuuuu jamaa kawaka baada ya kusema ukweli kwamba anauza kakomputa kenye ram mb 512 na ka hard disk 40 Gb na hakana monitor wala monitress halafu ni ka yuzidi kakatumia mpaka sasa kanahitaji kwenda kwa fundi ndio uje umuuzie mwenzako matatizo
Kweli wewe mbinafsi
Nauza used desktop dell(pichani).
Hard disk 40GB
Ram 512MB
Processor 2.8Ghz
DVD Rom.
Pentium 4
Nb. Haina screen. nakupa kompyuta, mouse, keybody na cable zake tu.
Bei ni shilingi elfu themanini na tano tu.
Waweza piga au kutuma mesj
0718 964795