Nauza Dell Laptop

Nauza Dell Laptop

Picha plz na size ya screen

Guys natumia sim nokia ya toch, i cant even put a picture in here, kama upo dar unaweza kuja kuiona nipo ubungo plaza
 
Gahana, unapostije huku na nokia toch? Samahani lakin, wengine hatupo dar natunahitaji.
 
SPECS:

Window 7
Processor: Intel(R) core (TM) i5 2.27 Ghz
RAM:6 GB
HDD: 500 GB
Type: Dell N Series

In a very good condition

Bei Tshs: 500,000/=

Mawasiliano mkuu!
 
Gahana, unapostije huku na nokia toch? Samahani lakin, wengine hatupo dar natunahitaji.

Mkuu nimepost kwa kutumia laptop yenyewe so siwezi kupiga picha, wewe ambaye haupo dar kwa kweli ni mtihani
 
Mbona kimya jamani, mngejua ninavyohiyaji hii hela kwa nguvu zote mngenunua sasa hivi, au mnataka niabike mtaani guys.
 
Mbona kimya jamani, mngejua ninavyohiyaji hii hela kwa nguvu zote mngenunua sasa hivi, au mnataka niabike mtaani guys.

Wewe haupo serious, nimekwambia wekapicha unasema unatumia nokia tochi, sasa hyo nokia tochi unawezaje kupata net yakutuma tangazo humu?? Kama unashida tafuta cm au tumia hyo pc unayoiuza kuweka pic ili watu tuliopo nje ya dar pia tujiridhishe.
 
Bado sijapata ofa nzuri wadau dah
 
Nimeshusha bei sasa loool hadi basi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom