Nauza decoder ya DSTV na dish lake

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,700
Reaction score
14,632
Wadau ninauza decoder ya dstv na dish lake kwa tsh 120,000. Kila kitu kipo vizur nmetumia mwaka mmoja tu. Remote,decoder vinafanya kaz vizuri.

Mi nipo tabata baracuda.
 
imeshuka hivyo?????????????????? mimi nlinunua 180,000. so kama mpya ni 79 mi nauza yangu 50,000. ikiwa ni hivyo ngoja nifanye utafiti mdogo.
Yap. Imeshuka sana, halafu hizi za 79,000 ni za HD, wakati za zamani hazina HD.
 
hata yangu ni HD nying zinatoka ni HD. aiseee kumbe wameshusha hivyo? sababu nini? wanunuzi wamepungua au ni promo? dstv wana bei za kipuuzi sana kwa sisi watu ambao bado hatujawa matajiri.
 
mpya 79000 na unapata na kifurushi cha mwezi kile kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…