Hapana bosiKaka nataka cpu peke yake kwa 50..
ha ha cpu ndio computerKaka nataka cpu peke yake kwa 50..
500gb mkuu I stand correctedhdd ni 580gb au 500gb au 80gb??
Je inawaka nije niichukue kesho?Mashine ipo katika hali nzuri kabisa . ina tatizo moja la kiufundi nalo ni haitoi sauti tatizo hili limeanza hivi karibuni mafundi mtakua mnajua sababu yaweza kua nini . yaweza kua drivers or else.
Sifa za computer
HARD DISK580 GB DVD DRIVE
3.5 GB OF RAM.
Window 7
Bei 100k (very fixed)
Location : dar ,chang'ombe tmkView attachment 487134View attachment 487135
inawaka mubashara kabisa na ina vifaa vyoteJe inawaka nije niichukue kesho?
weka mawasiliano pia utaongeza transport costLete mwenge nikupe hiyo hela. Iwe inawaka na ikamilike vifaa