Sijawahi kuskia iPhone S4 labda imetoka leoNauza cm iphone s4 bei sh.laki 4 nicheki cm no 0769322746
Hiii IPhone S4 ni mpya nahisi. Maaana sijawahi isikiaNauza cm iphone s4 bei sh.laki 4 nicheki cm no 0769322746
Si shida kama ipo au haipo weka picha yake pliz!Nauza cm iphone s4 bei sh.laki 4 nicheki cm no 0769322746
Weka picha basSorry 4s nimekosea
Hiii iko poa na punguzo lipo ndg
iPhone 4s kwa 400k? Je iphone 5c na 5 zitauzwa shingapi? Bei yake halisi haizi 250k kama una bisha njoo nikuuzie.
Uko mkoa gan? Mimi nina 5 nauza laki 4.5 na 5s nauza 5.5... Kua serious
Uko mkoa gan? Mimi nina 5 nauza laki 4.5 na 5s nauza 5.5... Kua serious
Iyo ukipata laki 2.5 kimbia na usimpe namba zako utaye muuzia.