Picha ninazo nilishindwa kuapload wakat naandika tangazo umeme uko ad nyumba ya pili kiwanja hakijapimwa ila kina hati halali za serikali ya mtaa .kwa maelezo zaif na picha nimeweka namba yangu hapo
Nauza nyumba self.contained .bado kuezeka tu bei mil18 . Lipo maeneo ya kihonda mazimbu road.hakuna dalali mm ndo muhusika njoo tufanyr biashara .nipigie 0743627884