Nami nasubiria jibu kwa swali hili murua niweze kujitosa humoKwa siku faida ulikua unakula ngap
Ingekua ni Jambo la Heri sana ungeanzisha thiredi yako then utangaze hiyo offer yako.. kwa kudondoshea humu sidhani kama utapata unachohitaji..Jamani habari zenu ,,,,,Aliye Tanga jamani natafuta kiwanja cha biashara size ya kawaida tu,,,ya kutosha fremu kama 2 kwa mawasiliano ,,,,,nicheki hapa. 0719440 683
Unauliza au unatuambia??Bei haipungui
Unauliza au unatuambia??