Nauza bati simba dumu

Ziko wap.. isije kuwa ni reject... Weka picha
 
Mnunuaji ua anahakiki mali kabla ajatoa hela na sijakwambia nitakuletea ulipo ni utakuja kuzibeba mwenyewe na izi ni bati wala si simu
Sijakwambia nataka ili kuhakiki, nimekwambia weka picha unishawishi. Rahisi tu mbona mkuu.

Unahisi kila mtu anajua mabati meupe yakoje?

Ila usijali mkuu, kuwa na amani
 
Bati simba dumu nyeupe mpya zipo 30 moja nauza 19,000 =
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…