Usisahau na gharama za kutunza hadi kuja kuuzaKweri ufugaji unalipa bata 150,000
Mkuu kama unaweza niletee Arusha nikupe laki tano (500,000/-) kwa wote sita. Kama it's ok niambie nikupe contactsHabari msomaji!
Kama kichwa cha habari kinayoeleza ninauza bata bukini wadogo wenye umri wa miezi 6. Idadi yao ni 6 na kati yao madume mawili na majike manne (4).
Napatikana mkoa wa Dar Es Salaam eneo ni makongo, kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa private message (PM).
Bei ni 150,000/- kila mmoja ila kwa atakayechukua wote bei itapungua
Sifa / faida za bata bukini hususani hawa nao fuga:
1. Wanatanga awamu mbili kwa mwaka
2. Awamu moja anataka hadi mayi 8
3. Ni walezi wazuri wa watoto
4. Ni wazuri pia kwa ulinzi
Asanteni
Nimpiga kelele Mzuri sana, anawatishaWatu ukiwa muoga lazima Ulale mbele..Huyo batabukini analiwa? Anafaa kwa ulinzi upi anafukuza majambazi usiku au?
hahahaha itakua ana bunduki makalioniHuyo batabukini analiwa? Anafaa kwa ulinzi upi anafukuza majambazi usiku au?
Mkuu kama unaweza niletee Arusha nikupe laki tano (500,000/-) kwa wote sita. Kama it's ok niambie nikupe contacts
Bata kweli mkuu! unaruhusiwa pia tutembelea uwaone uulize na majirani. Nafuga kama njia nyingine ya kupata kipato na chakula kwa familia ila pia ni muajiriwa sekta binafsi.Ni bata kweli au majini? Maana watu Dar hawaaminiki, mtu anakuambia anauza bata ukinunua na kuwafuga unapatwa na misukosuko maishani.
Kwann ni hatariUngekuwa unawafuata mwenyewe tungeweza kuongea chief. Kusafirisha hawa ndege kwa basi ni hatari