Nauza Bajaji TVs Bei chee

Nauza Bajaji TVs Bei chee

Hesabu ya boss kwa kawaida DSM huwa ni sh ngap per day?
 
Kawaida ni tsh 15,000/ per day
Ila kama chombo ni kipya hesabu inakua ni tsh 18,000 mpaka 20,000/=
Asante mkuu maana ninamawazo ya kununua moja ya kuboost kipato changu. Na service inakuwa juu yangu au juu ya niliyemkabidhi bajaji?
 
Full service inakua ni juu yako mfano kama unataka kufanya overall maintenance.. Ila kumwaga oil na kubadilisha vitu vidogo vidogo mfano plugs na kubadilisha side mirror, rubber etc ni juu yake.
Mimi niliingia nae mkataba service inayozidi elfu 10, Ndio tunashare cost.
All the best mkuu ukipata dereva mwaminifu na anayejua maisha ni nin, utapata faida sana hasa ukimkabidhi chombo kizima (kisichosumbua)
N.B. Nilikua nazo mbili zote zikanifilisi.
 
Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom