miezi 5 tuuUmetumia kwa kipindi gani
Duuuh miezi 5 tu??? Mbona ni mpya kabisa unauza bei chee hivyomiezi 5 tuu
ndiyo hiyo bei mie nataka tuu nipate hata hiyo hela tu ,Duuuh miezi 5 tu??? Mbona ni mpya kabisa unauza bei chee hivyo
ulinunua kwa mtu au dukani?miezi 5 tuu
Mkuu kuwa muwazi na mkweli. Kwanza kabisa Model ya hiyo bajaji ni ya kitambo hata muundo wake wa taa unaonyesha kabisa ni toleo la kitambo! Matoleo ya miaka ya hivi karibuni taa zake haziko hivyo. Pili kusema kwamba umetumia miezi mitano unaweza kuwa sahihi lakini si kwamba umetumia miezi mitano tangu itoke dukani labda tangu uinunue toka kwa mtu mwingine! Tatu bajaji ya model hiyo haiwezi kuwa rangi inayongaa namna hiyo labda kama uilinunua na kuiweka ndani tu haitumiki. Hiyo rangi inaonekana imepakwa upya na kwa mtaalamu wa haya mambo rangi ya kurudishia inatambulika tu wala haifichiki. Nne bajaji mpya ambayo imetumika miezi mitano haiwezi kuuzwa kwa hiyo hela mbuzi unayoitaja. Yaani ununue TVS King Mpya toka dukani 7.2 milion + gharama nyingine mpaka inakaa barabarani ni karibia 8m halafu itumike tu miezi mitano theni iuzwe 2.9 tu hata kama unadharura huwezi kuiuza kwa bei hiyo. Hilo nalo linathibitisaha kwamba hiyo bajaji ni ya kitambo.miezi 5 tuu