Nauza Asali

belu

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
53
Reaction score
9
Wapendwa habari zenu,

Mimi nipo Dar es salaam natafuta soko la Asali mbichi ya nyuki wakubwa.Asali ambayo haijachakachuliwa kutoka Katavi.Lita nauza 11,000.

Kwa yeyote atakaehitaji tuwasiliane
 
Unauza kwa siri?tutanunuaje?weka mawasiliano
 
za jumapili wanajamii...pata asali tamu mbichi ya nyuki wa kubwa kutoka katavi kwa tsh 11,000 tu kwa lita...npo dar ....kwa mawacliano piga 0757478961
 
Mkuu nasikia asali nzuri ni ile ya kutoka Tabora nyingine ni magumashi ni kweli?
 
za jumapili wanajamii...pata asali tamu mbichi ya nyuki wa kubwa kutoka katavi kwa tsh 11,000 tu kwa lita...npo dar ....kwa mawacliano piga 0757478961
Acha porojo hakuna asali chungu, zote ni tamu. Tupe sababu kwa nini tununue ya kwako?.
 
Mkuu nasikia asali nzuri ni ile ya kutoka Tabora nyingine ni magumashi ni kweli?

c kweli asali ya Tabora INA nicotine nyingi hvyo inakataliwa c nzur
 
c kweli asali ya Tabora INA nicotine nyingi hvyo inakataliwa c nzur

Hapana mdau si kweli kwamba asali ya Tabora ina Nicotine ila ni lugha ya biashara kwa watu wa maeneo mengiine na hii imethibitishwa kiutafiti so far wafugaji wengi Tabora wanafugia kwenye protected areas so sio rahisi asali kuwa na nicotine.
 
Habari za asubuhi wapendwa wanajamii,

Poleni ambao hampo vzr kiafya... Nauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka mkoa wa Katavi.. Ni Asali ambayo haijachakachuliwa.. Lita moja ni tsh 11,000 tu. Kuanzia Lita 2- 40, nakuletea popote.

Nipo Dar na kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane kwa 0757478961.

Asanteni sana
 
lita 5 sh ngapi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…