Nauza asali ya nyuki wakubwa

Nauza asali ya nyuki wakubwa

Joined
Oct 3, 2015
Posts
25
Reaction score
1
Ninauza asali ya nyuki wakubwa kutoka Tabora, ni mbichi na haijachanganywa na kitu chochote.

Bei lita 20 tsh 160,000, mawasiliano 0674003082.
 
Ndugu wana JF. Ninauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora. Nipo sinza karibu na meeda. Bei, dum la lita 20 ni sh 150000. Mawasiliano 0766849951
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom