F fanuel nary Senior Member Joined Mar 12, 2014 Posts 129 Reaction score 59 Feb 6, 2018 #1 VYUMA vimekaza na UNCLE MAGU kasema tutafute GREASE,nimejiongeza nauza asali ya NYUKI WA wadogo nachukulia MANYARA na supply kuanzia lita 5 kwa Tsh 100,000/ mniunge wadau maisha ni kutafuta.
VYUMA vimekaza na UNCLE MAGU kasema tutafute GREASE,nimejiongeza nauza asali ya NYUKI WA wadogo nachukulia MANYARA na supply kuanzia lita 5 kwa Tsh 100,000/ mniunge wadau maisha ni kutafuta.