sasa kama we ni mfanya biashara unaficha numba ya simu ili iweje? nilitegemea baada ya Somo la Mahinya, mtachangamkia fursa hii ya kuuza asali mbichi kwa kutitangaza na kuweka numba za simu hadharani na hata office location, na namna ya kufika hapo. Upungufu wa nguvu ni njanga la kitaifa hivyo kama dawa simpo imepatikana na ingredient mojawapo ni asali mbichi changamkieni kufanya biashara hii ili kuokoa jahazi la wanaume wanaodharauriwa kwa kupungukiwa na nguvu