Nauza asali mbichi ya Tabora

Nauza asali mbichi ya Tabora

wa mjini

Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Kwa jumla mwenye masoko naomba tuwasiliane akitaka kununua kwa kilo au kwa lt vyote tnafanya biashala ata ikiwa njee ya nchii
 
Nipo tabora na dsm kinondoni nauza kuanzia gm 500 kuendelea kulingana na mteja anavyo itaji
 
Haina Nicotine?

Hapana haina hiyo kitu, sisi huwa hatuweki hiyo rangi, mizinga yetu ya nyuki ipo karibu sana na mashamba ya tumbaku ambapo uangalizi ni mkubwa! Lol!
Natania tu wanajamvi, wewe unayeogopa nicotin ya kwenye asali kila week end upo 'club' au 'glosali'na huko huwa unavaa mask?
 
Heheheeeee....no 'clubing', no 'glosaling' at all. Then no 'masking'.
 
Watu hawajui hata kutaja bei, eti kulingana na unavyohitaji! Hivi mtu unashindwa kuweka hata SI unit? Kwa nini usiseme bei ni mfano Sh. 10,000/= kwa lita, halafu ndio ukamuachia mtu aamue kiasi anachotaka? Kweli tunahitaji shule kabla hatujaivamia EAC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom