Wakuu habari zenu,
Mwenye uhitaj wa asali mbichi ya nyuki wakubwa mimi ninauza.
Nipo Morogoro.
Nina asali katika madumu ya ujazo wa lita 20 na nina madumu yenye asali yapatayo 50.
Kwa yeyote mwenye uhitaji au mwenye kujua wapi nitapata soko anipe connection.