C. Misonge Member Joined Oct 3, 2007 Posts 60 Reaction score 10 Jul 28, 2017 #1 Habari za jioni, Tunauza asali mbichi toka Itigi, kuna ujazo wa 1kg tsh 12,500 , 500 g ni tsh 6500 na 250 g ni tsh 4,000 Kwa mawasiliano 0756 699699 / 0746 699299 Kwa Dar es salaam, tutakufikishia mzigo kwa maeneo ya Posta kuanzia 5kg, Mwenge, Mwananyamala, Mikocheni, Masaki, Mbezi, Sinza kiasi utakacho. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jioni, Tunauza asali mbichi toka Itigi, kuna ujazo wa 1kg tsh 12,500 , 500 g ni tsh 6500 na 250 g ni tsh 4,000 Kwa mawasiliano 0756 699699 / 0746 699299 Kwa Dar es salaam, tutakufikishia mzigo kwa maeneo ya Posta kuanzia 5kg, Mwenge, Mwananyamala, Mikocheni, Masaki, Mbezi, Sinza kiasi utakacho. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
y-n JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,391 Reaction score 2,514 Jul 28, 2017 #2 itigi lita 5 tsh 30000 Rungwa lita 20 inauzwa tshs 70,000 Sent using Jamii Forums mobile app
C. Misonge Member Joined Oct 3, 2007 Posts 60 Reaction score 10 Jul 28, 2017 Thread starter #3 y-n said: itigi lita 5 tsh 30000 Rungwa lita 20 inauzwa tshs 70,000 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa, ifuate huko, mimi nafuga hao nyuki pamoja na kuhakikisha nawawekea mazingira bora ya wao kuzalisha asali.. Nashukuru kwa mawazo yako lakini. Sent using Jamii Forums mobile app
y-n said: itigi lita 5 tsh 30000 Rungwa lita 20 inauzwa tshs 70,000 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa, ifuate huko, mimi nafuga hao nyuki pamoja na kuhakikisha nawawekea mazingira bora ya wao kuzalisha asali.. Nashukuru kwa mawazo yako lakini. Sent using Jamii Forums mobile app
K kamwamu JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,622 Reaction score 3,401 Jul 29, 2017 #4 Asali kipimo sahihi ni ujazo, kwa uzito utasumbuana na wateja kwani density ya asali toka eneo moja na lingine huweza kupishana.
Asali kipimo sahihi ni ujazo, kwa uzito utasumbuana na wateja kwani density ya asali toka eneo moja na lingine huweza kupishana.