N Nick Neymar New Member Joined Jun 20, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Jun 20, 2019 #1 Nauza asali kutoka tabora jumla na rejareja Nick honey Kwa mawasiliano piga simu 0716701071 /0687111808
Nauza asali kutoka tabora jumla na rejareja Nick honey Kwa mawasiliano piga simu 0716701071 /0687111808
M markbusega JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 826 Reaction score 850 Jun 20, 2019 #2 Nick Neymar said: Nauza asali kutoka tabora jumla na rejareja Nick honey Kwa mawasiliano piga simu 0716701071 /0687111808 Click to expand... Umemaliza hivyo tu? Au unauza bure au ndio biashara zetu zile kwamba wewe Una sh ngapi?
Nick Neymar said: Nauza asali kutoka tabora jumla na rejareja Nick honey Kwa mawasiliano piga simu 0716701071 /0687111808 Click to expand... Umemaliza hivyo tu? Au unauza bure au ndio biashara zetu zile kwamba wewe Una sh ngapi?
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Jun 20, 2019 #3 Haina nikotini ya tumbaku?
Ilitara kimura JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,888 Reaction score 1,867 Jun 20, 2019 #4 jogi said: Haina nikotini ya tumbaku? Click to expand... Hilo neno leo nimeenda kisarawe nikakutana wajasiriamali wanauza bei tofauti na ile ya tabora wakanijibu kwamba hii ni ya pwani haina nikotini. Hivi kuna ukweli katika hili au ni kuharibiana tu biashara. Nauliza tu
jogi said: Haina nikotini ya tumbaku? Click to expand... Hilo neno leo nimeenda kisarawe nikakutana wajasiriamali wanauza bei tofauti na ile ya tabora wakanijibu kwamba hii ni ya pwani haina nikotini. Hivi kuna ukweli katika hili au ni kuharibiana tu biashara. Nauliza tu
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,556 Jun 20, 2019 #5 Huyu jamaa kaja kibabe kweli kweli. Yaani kajiunga JF dakika hiyo hiyo kapachika bandiko la biashara fasta, hakuna hodi wala nipokeeni kama wanavyofanya wauza tumbaku wenzake 😂!!.
Huyu jamaa kaja kibabe kweli kweli. Yaani kajiunga JF dakika hiyo hiyo kapachika bandiko la biashara fasta, hakuna hodi wala nipokeeni kama wanavyofanya wauza tumbaku wenzake 😂!!.