Hapo sasa ndo utajua wa tz kuwa si wastaarabu.[/QUOTE]
Kumbe ni ustarabu? Ndio mana tukusafiri nje ya Tz inakuwa kazi wenzetu washarahisisha unakutana na chek-out machine ni kuscan bar code then bei inakuja, hakuna cha nipunguzie unashindwa acha😆😆