Habari wadau, nauza acoustic guitar kama linavyoonekana kwenye picha hapo, lipo vizuri na linapatikana mbagala kuu. Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM bei ni 140k .
Kwa strings utazipata madukani kariakoo au kwenye maduka ya vifaa vya muziki ila kwenye mafundi kama seremala hawezi kufix sijui wapi kuna mafundi haya madude kwa mjini hapa