Ma Modem ya kazi gani kwenye ulimwengu wa Smartphone.
Tunatumia smartphone hiyohiyo kama modem. Sasa mtu uwe na smartphone, na modem. Ununue Bando huku na huku si mzigo huo!!!
Halafu mbaya zaidi Modem yenyewe 3G, wakati Bando Langu la Chuo kwenye TECNO yangu na enjoy video stream 4G ya Vodacom.
Hiyo labda nenda ukawauzie wanaume wa mikoani ambako 4G wanaisikia kwenye bomba