Naushukuru mchepuko wangu

Sasa hii imefata nn huku nje nje.
Ina maan uzi wa rikiboy huujui ukaitupia kule
 
Nakumbuka hiyo siku mlivyokua mnaparty wenyewe hakika siku yenu ilifaana sana.

Na kati ya hao dadaz wawili mmoja wao alikuja ntonya kama tunafahamiana nikuepushe na balaa ambalo litakukuta maana huyo Demu tayari kachoma plagz yaani ni Muathirika kitambo tu.

Kwa bahati siku hiyo malaika wako wakakuepusha asa nimekuja shtushwa na Uzi huu ambao umenifanya niikumbuke vyema hii siku.

Pole sana mjomba.
 
Mtu kakutana na vimalaya anajioona mwamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa tarifaa yako hvyoo mtu yoyote anavigonga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiroho safi unampasia mwamba nae ale mema ya nchi.

Haka katabia kanafanya wanawake wengi waonekane malaya, jamaa akijipigia mchizi wake akiomba ampige huyo manzi jamaa kiroho bwena anampa na mbinu.
 
Ndo maana linakazana kusema kataa ndoa maana linajijua hamna mwanamke atakae mkubali na nyaya zake🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…