Naushukuru mchepuko wangu

Kamba some
 
Yani ujue haya mambo ni vichekesho sana kwa sababu ukute hapo boss upo 30s+ afu unachanganyikiwa na ngono kiasi ichi wakt hayo mambo wanaofanya ni watt wa o-levo na wakichelewa sana watoto wa chuo.
.
Mi nikupe pole tu kwa kuwa unachosha mwili wako na kupoteza pesa zako nakujiingiza kwenye riski mbali mbali kwa sabab hiyo sio starehe ya kudumu, ukifanya leo kesho tena mwili unataka unazidi kupoteza nguvu na mali
 
Tea bila sugar.
 
Acha uoga
 
Halafu kuna mtu analalamika hajapata mtoto maishani mwake,sasa haya si majanga haya!
 
maisha ndio haya zambi tumeumbiwa....utachagua wewe ufanye zambi gani uibe,udanganye,uabudu miungu mingine,ulitaje jina la bwana hovyo,utamani mke wa jirani yako,uzini, uue kazi kwako ..
Hapa umemaliza Kila kitu🤔
 
Kijana mwenzangu, Kijana mwenzangu, Kijana mwenzangu, Nakuita mara tatu.


Kwa style hii tutapata katiba mpya kweli?
 
Na kifo kipo pale pale

Amri ya 11 inasema "...na mwisho wa yote hayo mtakufa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…