African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
Kwa mara ya kwanza nimeona Kikwete akizungumza kama rais. Akihutubia mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wa polisi iliyofanyika Moshi Kikwete amewataka maofisa hao kurudisha imani kwa wananchi kwa kuwaondoa wahuni,majambazi na wala rushwa ndani ya jeshi la polisi. Amekwenda zaidi kutaka aliyeingia Pub Albeto na bunduki atimuliwe!. Mimi najiuliza alikuwa wapi Kikwete siku zote?hivyo ndivyo rais anavypaswa kuwa. Naunga mkono hoja
Source: Mwananchi
Wahuni na majambazi wakubwa na Dr Haji Mponda na Lucy Nkya......hawa wana madhara makubwa kuliko yule askari aliyeingia club na smg,kwa nini yeye hachukui hatua na anatoa oda kwa wenzake,wananchi wamekosa imani naye kama walivokosa imani najeshi la polisiKwa mara ya kwanza nimeona Kikwete akizungumza kama rais. Akihutubia mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wa polisi iliyofanyika Moshi Kikwete amewataka maofisa hao kurudisha imani kwa wananchi kwa kuwaondoa wahuni,majambazi na wala rushwa ndani ya jeshi la polisi. Amekwenda zaidi kutaka aliyeingia Pub Albeto na bunduki atimuliwe!. Mimi najiuliza alikuwa wapi Kikwete siku zote?hivyo ndivyo rais anavypaswa kuwa. Naunga mkono hoja
Source: Mwananchi
Mkuu sijakupata, hivi matatizo ya madaktari katika nchi hii yatayeyuka kwa Nkya na Mponda kuondoka wizara ya afya?Wahuni na majambazi wakubwa na Dr Haji Mponda na Lucy Nkya......hawa wana madhara makubwa kuliko yule askari aliyeingia club na smg,kwa nini yeye hachukui hatua na anatoa oda kwa wenzake,wananchi wamekosa imani naye kama walivokosa imani najeshi la polisi