Naumwa

Wana mmu habari za mchana mwenzenu naumwa toka ijumaa malaria kali imenikamata nimeanza kupata nafuu jana asante kwa man u kushinda na kanafuu kakaanza,nisiwachoshe sana niwatakie mchana mwema nina id ya siku 2 3 hivi

umepima vipimo vyote mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…