Naulizia Unlimited Bandle ya INTERNET

Hilo bando nilipata jumatano 12 may limekuja kuisha jumanne 17, kwa hizo siku nilizokuwa natumia lilikuwa unlimited ona hio chart



Kwasiku nilikuwa natumia GB 9-10
Hii ilikuwa may 14

Hii may 15

Hotspot


mmh ngumu kumeza, milele na milele Tigo hawawezi kukupa hata GB 5 kwa Tsh 2000! wewe Hizo 72 ni ukakasi mzito. I'm

Anyway onyesha ushahidi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile ap



 
Chief-Mkwawa kweli nimeamini Elon janja janja. Nimesoma sehemu kuwa kumbe anataka negotiate upya bei ya $44 billion ipungue na board ya Twitter haitaki punguza hata sumni.
Eti anadai kuwa wameshindwa kumpa proof kwa less 5% ya akaunti za Twitter ndizo bots. Kajamaa kajanja janja bwana.
 
Ongea na IT wa hapo hospital kama mko karibu na unaweza pata signal akutengenezee hotspot kwenye kutokea Router kubwa zile uwe una mlipa kila mwezi!!!
 
Mimi kuna jamaa aliyenitengenezea kila mwezi napata GB 1 nitumie kwa wiki, ila ni kwa simu za Android tu ndivyo alivyo niambia, mtandao wa Tigo, Huu ni mwaka wa 2 sasa natumia hii offa na sijawahi weka salio kwenye laini hii maana huku kwetu laini za Tigo zinashika mtandao sehemu sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…