kirikuu19999
Member
- Jul 8, 2018
- 86
- 121
Una account ya your freedom uliolipia uniuzie
Asante mm nimeitumia kwa halotell kuna mda inakataa inarudi kula bando la kawaida ila ushanisanua ngoja niamie TTCL, voda hawataki utani wametumwa ela mjinihapana sina hiyo account ila inafanya kaz kwa TTCL tu voda skuiz inagoma ila kulipia mbona rahis unalipia kwa m-pesa ila inabagua sim kwa samsung ndo inafanya kaz vzr Tecno na infix hua inasumbua na gharama hua ni ndogo elf 10 miez mi tatu unlimited ndo uwe kwenye eneo zur TTCL inayo fanya kaz na uwe at least na samsung hapo haitosumbua sana
your freedom ndio nn wadau mbona mm sijui ?hapana sina hiyo account ila inafanya kaz kwa TTCL tu voda skuiz inagoma ila kulipia mbona rahis unalipia kwa m-pesa ila inabagua sim kwa samsung ndo inafanya kaz vzr Tecno na infix hua inasumbua na gharama hua ni ndogo elf 10 miez mi tatu unlimited ndo uwe kwenye eneo zur TTCL inayo fanya kaz na uwe at least na samsung hapo haitosumbua sana
tupe details, lina spidi?Kuna jamaa kaniunganisha unlimited bando la TIGO ilikuwa liishe siku nne lkn Leo siku ya 8 ,hadi sasa nimetumia GB 72
Nilimpa 2000 kishkaji kuna code anaingiza zijazijua Bado maana alikuwa anajificha nisione
Spidi ni Ile Ile ya simu/laini yako coz inakuwa kama tu umeweka bando (lkn ukiangalia salio bando halionekani ) kwahiyo kama laini yako inasomaga MB 2 per second ndio itakuwa hivyo hivyo.tupe details, lina spidi?
Kuna jamaa kaniunganisha unlimited bando la TIGO ilikuwa liishe siku nne lkn Leo siku ya 8 ,hadi sasa nimetumia GB 72
Nilimpa 2000 kishkaji kuna code anaingiza zijazijua Bado maana alikuwa anajificha nisione
Location ni Tanzania bzima au mjini tuJiunge na connect 16
Wanakupa device bure, malipo ni 70 kwa 10mbps
Naona unataka kumpiga mtu na kitu kizito kichwani.. [emoji41]Kuna jamaa kaniunganisha unlimited bando la TIGO ilikuwa liishe siku nne lkn Leo siku ya 8 ,hadi sasa nimetumia GB 72
Nilimpa 2000 kishkaji kuna code anaingiza zijazijua Bado maana alikuwa anajificha nisione
Mkuu mimi natumia Sony xperia, Your freedom inafanya kazi vizuri ila changamoto hai connect full time, yani utakuta kuna mdaa inakaa hadi dakika 10 inagoma kabisa,hapana sina hiyo account ila inafanya kaz kwa TTCL tu voda skuiz inagoma ila kulipia mbona rahis unalipia kwa m-pesa ila inabagua sim kwa samsung ndo inafanya kaz vzr Tecno na infix hua inasumbua na gharama hua ni ndogo elf 10 miez mi tatu unlimited ndo uwe kwenye eneo zur TTCL inayo fanya kaz na uwe at least na samsung hapo haitosumbua sana
Hakuna anaye pigwa hapa na Sina huo muda hii ni offer mpya ya tigo kama haujui ,Mimi niliungwa tu na jamaa yangu mwanzo nilidhani anafanya utundu lkn saizi nimegundua ni offer tu imetolewa na bosi mpya wa tigoNaona unataka kumpiga mtu na kitu kizito kichwani.. [emoji41]
Wadau wakijichanganya tu, wameliwa
Baada ya hapo unafanyaje mkuu?aliandika Social bonus kwenda namba 15166
Baada ya hapo unafanyaje mkuu?
mmh ngumu kumeza, milele na milele Tigo hawawezi kukupa hata GB 5 kwa Tsh 2000! wewe Hizo 72 ni ukakasi mzito.Hakuna anaye pigwa hapa na Sina huo muda hii ni offer mpya ya tigo kama haujui ,Mimi niliungwa tu na jamaa yangu mwanzo nilidhani anafanya utundu lkn saizi nimegundua ni offer tu imetolewa na bosi mpya wa tigo
Nimeshaelewa mkuu na Iko vzrUkiona hujaelewa kitu potezea mkuu hakikuhusu