Nauliza tu


umeona eeeh lazima kuna sababu hapo achunguze chanzo cha hiyo chuki asije akafanya maamuzi mazito yakawa majuto badae
 
mi dadake namba moja mtata utanipenda kweli? cc OLESAIDIMU

Ah nisikupende kwa nini wifi hahahaa hata kama wewe mtata vipi mie utata wako utanigusa vipi nasie kazi zetu tofauti. Wifi wewe pamoja na mapenzi makubwa kwa kaka yako kwani waweza kupita ndani ukamhudumia? Wewe utaishia kibarazani weee wifi yangu na mie ntazidi kukupendea huko huko usiku nakufungia mlango wee gniiiite najivuta ndani na hani.. bibi weee nigombee nini na wifi mie?! Cc OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:

hahaha kwelie eeh siwezi kumuhudumia mengineyo ila angalia huko ndani usimkoleze mpaka akatusahau si unajua sie extended family macho yote kwake
 
Last edited by a moderator:
Ni halali kama anasababu ya kufanya hivyo

Hata kama hana sababu mume atatoa sababu gani mahakamani anapoomba takaka? Atasema hapendi ndugu zangu na wazazi wangu? Kama wana watoto je? Hiyo ni sababu ya kuwaathiri kisaikolojia kwa kulelewa na mzazi mmoja? Kama mko uchumba tu au mmeoana bila ndoa na watoto bado hapo mnaweza kuachana.
 
Kuishi na mke na mawifi na mama mkwe mmh ni zaidi ya mtihani wa taifa kwakweli....!!!
 
Kuishi kimasikini ni kuishi nyumba moja mkeo na dada,zako na mama yako....utampa mkeo lawama za bure...kila mwanamke anataka kuwa na sauti nyumbani kwake...sio kuishi kinyonge...

Na hii ndio sababu kubwa inayomsumbua hiyo jamaaa... Lazima atakuwa anaushi kimaskini tu!!!!


🙏🙏🙏🙏
 
kuna watu wengine wanataka kuishi kama wapo kwenye outer space sioooo eeeeeenh ? ni kweli kuna ndugu na mama mkwe kizunguzungu sana lakini kwa kuwa mume au mke wanaelewana naona hakuna sheeeeedaaa ya yeye kuonyesha chuki kwao ili upumbavu usiwe kwake ...
 
Umasikini ni tatizo mkuu....
Hata tukipata hela ukubwani bado ni tatizo kwani tulilelewa kwenye umasikini ,muda wote ni mapambano tu ya kujilinganisha.

Wanaita 'poverty culture'...yaani umasikini unakuwa ndo utamaduni wako bila kujijua..
ndo maana sometimes watoto wanachapwa wakikataa ugali..tukiamini kukataa ugali ni kama kosa vile..
kumbe kuna vyakula vya kila aina nafuu kuliko ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…