Hawapendi kivipi...anawatukana, ananuna wakiwatembelea, anatamka kabisa siwapendi, au?
Tafuta kiini...
Je ameanza lini kuwachukia? Umemuuliza sababu?
Ukimuacha una mpango wa kuoa tena? Unamuoa nani? na unajisikiaje kufanya maamuzi makubwa kama hayo - divorce? Bado unampenda au umepata sababu ya ziada (kuchukia wazazi) ya kumuacha?