Wakuu nauliza free host web kwani kila niliyotembele nilazima ulipie hata zile nilizokuwa nafahamu zamani zikitoa huduma ya bure sasa unalipia!!!Je zipo za bure??
Bure? Dah ndugu upo ulimwengu gani? Hakuna cha bure mkuu, hata hicho cha bure kina gharama zake. Ufike wakati watu tuondoe dhana mfu kwenye vichwa vyetu jamani.