Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!

jombaa naomba uaupdate hii thread yako mpaka kesho me ntakuelezea kwa mifano! Kwa sasa naskia ucngz vbaya mno pia nakuonea sana huruma!
Au kama vip ni PM
Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!
Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!
JIBU: Madhara yapo tena makubwa na ni ya kisaikolojia ambayo baadaye hugeuka kuwa yakibaiolojia. Achana na hako ka mchezo. By the way, unahangaika na hako ka mchezo ka nini wakati wadada wapo? Tafuta mwaminifu mkapime ngoma then uanzie toka hapo kama umri wako unaruhusu, kama upo shule, achana na kuwahi haya mambo kajisomee kwa faida ya maisha yako yajayo.