Huku ni kukosa uzalendo mkuu kwani bombardier zina nini?Nauli ya bombardier na dreamliner kutoka Dar kwenda Mwanza Ni sawa ? Najaribu kuangalia website ya kufanya ticket bookings online ya atcl haijafafanua vizuri . Kwa wale muliosafiri naombeni kujulishwa nataka nifanye bookings ya dreamliner sitaki kusafiri na bombardier.
nataka kufaidi ndege mpya mkuu. Nchi 4 tu Afrika zinayo!Huku ni kukosa uzalendo mkuu kwani bombardier zina nini?
Ata bomberdier nazo si mpya mkuu ?nataka kufaidi ndege mpya mkuu. Nchi 4 tu Afrika zinayo!
Nauli haiangalii ukubwa au udogo wa ndege.
Zote zinapigiwa debeni sawa,ila atcl waliitangazia Sana mpaka kwenye twitter watu tuipande kwahiyo nimeitikia mwito
ni sawa zote ni mpya hakuna ubishi juu ya hilo lakini nyingine zimeshatumika almost mwaka mzima au zaidi,hii dreamliner ina mwezi mmoja tu bado harufu ya upyahaijaondoka!Ata bomberdier nazo si mpya mkuu ?
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ni sawa zote ni mpya hakuna ubishi juu ya hilo lakini nyingine zimeshatumika almost mwaka mzima au zaidi,hii dreamliner ina mwezi mmoja tu bado harufu ya upyahaijaondoka!
Hivi mkuu kwa safari ya dar_moro kupanda passo na crown athlete ipi unapenda.Huku ni kukosa uzalendo mkuu kwani bombardier zina nini?
Kwa uzalendo nitapanda passo ya baba na kuacha crown kama itakuwa inatunia gharama kubwa.Hivi mkuu kwa safari ya dar_moro kupanda passo na crown athlete ipi unapenda.
ni round trip sio one way ,itakuwa wiki 2 au 3 toka sasaInategemea ni muda gani unasafiri, afu ni one way ama? Jieleze vizuri usaidiwe.
Hazina WI-FI ndugu.Ata bomberdier nazo si mpya mkuu ?
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umesahau na Ndege Fatuma Chief...![emoji3]ndege John ni bei rahisi sana