kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
45,000/=Wakuu natanguliza salamu zangu kwenu. Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Naomba kujua Range ya nauli za Usafiri wa basi Dar-Mwanza kwa sasa bei gani? Na ni mabasi gani yapo comfortable zaidi na yanafika muda mzuri Mwanza?
Kwa aliyesafiri hivi karibuni tafadhali naomba jibu.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa. Akhsanteni sana.
Asante sana mkuu. Je, kuna haja ya kukata ticket mapema au? Nasafiri kesho ila huwaga sipendi kukata mapema kuhofia pressure ya kuchelewa unless otherwise kuwe na shida ya usafiri.Mkuu as hv hakuna cha mda mzuri...tochi zimekaba mjiani...mwnz unaingia sa tano au sita...kampun nzuri na affordable ni kisesa au zuberi tsh 40000 na ukfika mwanza unaweza kulala kwenye ofc zao...mabas mengne ni isamilo, dar lux, Leo, kidia, super samy, shabiby n.k but yanaanzia 45000 na kuendelea kulingana na daraja la bas
Asante kwa muongozoMkuu as hv hakuna cha mda mzuri...tochi zimekaba mjiani...mwnz unaingia sa tano au sita...kampun nzuri na affordable ni kisesa au zuberi tsh 40000 na ukfika mwanza unaweza kulala kwenye ofc zao...mabas mengne ni isamilo, dar lux, Leo, kidia, super samy, shabiby n.k but yanaanzia 45000 na kuendelea kulingana na daraja la bas
Asante mkuuHata usipokata tiket magar hayajai ww tu utakavyo amua
Asante sana mkuuMkuu nauli huwa ni 40,000 au 45,000 hii ndiyo nauli. Inategemeana na aina ya bas lkn nauli haiwezi kuzid hapo.
Kutoka mwanza mpaka dodoma ni 30,000. Kutoka dom kwenda dar ni 15,000, mengine ni 16,000, 17,000, (20,000, 25,000, 30,000 luxury bus)
ThanksAndika neno Nauli Mwanza Dar es Salaam au mahali popote unapotaka kwenda kwa njia ya basi tuma kwenda namba 15276; SUMATRA watakuletea jawabu na nadhani makato ya huduma hiyo ni sh.120 kwa mtandao wowote. Kampuni gani ni nzuri hapo watakusaidia wadau wengine.
Basi za ukweli panda New force kamwe hutajutia kwa SongeaHivi dar lux zinakwenda SONGEA ?kwa yeyote anayefahamu msaada please au kama siyo dar lux ni basi gani zuri la kutoka dar -songea na bei zake
Asante sana nitaijaribu hiyo.Basi za ukweli panda New force kamwe hutajutia kwa Songea
ndio yale ya mchina anawapiga madereva wake.Basi za ukweli panda New force kamwe hutajutia kwa Songea
Yes Super naj (mnyama) hizo ndo zetu bana bila kusahau Kambas haya ndio mabasi yetu na nauli zetu tuna starehe zetu kivyetu twenzetuUkipanda bestline hadi 35000 dar to mwanza au najimnisa