National Information and Communications Technology Policy 2016

kaachonjo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
203
Reaction score
68
Sera mpya ya taifa ya ICT jana ilijadiliwa na sasa imeanza kufanyiwa kazi na kutekelezwa. Naamini huu ni mwanzo wa kuja na sheria mpya ya TEHAMA ambayo kwa sasa inawagusa watu wengi zaidi nchini.

Kulingana na sera hii mpya ya TEHAMA changamoto zinazojitokeza katika sekta hii adhimu zimeajwa na nimeziorodhesha hapa chini na kwa sasa naamini wadau wanajiandaa na kuja na sheria.

Wenzangu na mimi nafikili ni wakati wa kuibua mawazo ya namna serikali kwa kutumia sheria inaweza kupambana na changamoto hizi.

Naomba kuwasilisha changamoto zilizotajwa na sera hii mpya, wadau walete mawazo ya namna ya kuyakabili na kuyaondoa kabisa

 
Tunajisumbua tu mm tangu hyo TCRA ianzishwe cjaona ikifanya chochote kusaidia nyanja hii kuinuka zaid nnacho kiona ukusanyaj pesa usiokuwa na kichwa wala miguu na kutubana wataalamu wa hii fani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…