Nothing is perfect,sheria & bills nyingi zinaanza hivyo na zinakuwa fixed as the time goes..just a WIP as everything else..Siyo kila kitu lazima uingie kichwa kichwa, sioni tatizo la Tanzania kuvutia punzi hili suala, hata hawa Kenya, Uganda na Rwanda japo wanasema utaratibu huu utaanza kutumika mnamo January 2014 lakini kuna mambo hambayo bado hawajakubaliana, kama vile dola 100 atazolipa mtalii kwenye nchi atakayoigilia, na akienda kwenye nchi nyingine husika mgawanyo utakuwaje.
Changamoto nyingine, Uganda hawana vitambulisho vya Taifa, wanasema watatumia vile vya kuigia kura, je, wangapi wanavyo?
Nothing is perfect,sheria & bills nyingi zinaanza hivyo na zinakuwa fixed as the time goes..just a WIP as everything else..
Don't make it a big deal boy,nina uhakika hata wewe hupendi story za documentation ukifanya vitu vyako maana ni unnecessary waste of time & money na mwanzo wa rushwa nyingi,kama TZ hawajaona benefit ya hii kitu is fine na hakuna mtu atalazimisha,and seems wewe ndio your are missing sio wao ndio maana huachi kupiga domo huku wenzako wanafanya mambo yao bila hata kukuliza,na bila aibu eti "haiwezi kudumu".....such a loser!!
Siku zote Tanzania walikuwa kind of slow kwenye maswala ya muungano lakini mimi sioni kama kuna tatizo kwa kuwa wanatoa sababu za msingi kuto kwenda kasi. Nadhani waache wengine watangulie alafu baadaye wakiona system inawafaa watajiunga pia. Mfano mzuri ni U.K kwenye European Union. Wanafaida zote za EU bila kuwa kwenye muungano.
Slow and sure wins the race
Don't make it a big deal boy,nina uhakika hata wewe hupendi story za documentation ukifanya vitu vyako maana ni unnecessary waste of time & money na mwanzo wa rushwa nyingi,kama TZ hawajaona benefit ya hii kitu is fine na hakuna mtu atalazimisha,and seems wewe ndio your are missing sio wao ndio maana huachi kupiga domo huku wenzako wanafanya mambo yao bila hata kukuliza,na bila aibu eti "haiwezi kudumu".....such a loser!!
Kajaribu ku-invest Kenya uone. Au kununua ardhi.
Kajaribu kumiliki ardhi Rwanda.
Bila free movement bado tunaona hasara za hawa majirani, sembuse wakipewa penzi? Itakuwa balaa ambayo sidhani kama tupo tayari kuikabili.
Wawe majirani zetu tu, inatosha.
Big deal!!Am not a boy, I am a man.Kagame is a boy
huna idea na unachoandika wewe,FYI UK hajabadilisha chochote in his membership and still a member na EU wameongeza members tangu ianze sio kupunguzaTumeona hata European Union UK wanachomoka taratibu sembese hao watuhumiwa wa The Hague
Mkuu haya unayosema umefanyia utafiti au umekurupuka tu. EU ilianzishwa rasmi mwaka 1957 na nchi sita. UK ilishindwa kujiunga kutokana na mambo ya kisiasa tu hasahasa kikubwa ni Pound (£). Na hii yote ilisababishwa na chama cha Conservative. Labour walipoingia madarakani ndiyo wakachochea kwa UK kujiunga na EU. UK ni member wa European Union (EU) tangu mwaka 1979 ila bado hajakubali kutumia Euro kama member wengine sababu tu ya sababu za kisiasa. Na EU haikuanzisha kisiasa azimio lake kubwa ni UCHUMI. So don't confuse yourself with EU membership na euro as currency ni viwili tofauti.
Mbona Tanzania haijashirikishwa kwenye hayo makubaliano?
Tiba
Toa unafiki hapa.....!!!hatuna shida na hiyo ndoa yenu
Mkuu Nigga, kwani wewe unamsemea nani humu JF? Nauliza tu?
Tiba
Sijui nikueleze vipi in a simpler layman's language kwa sababu nimetumia the simplest possible. UK ni member wa EU, hivyo wana faida zote za EU. Ukipata Shengen visa ya kwenda EU countries utaenda nchi zote bila kuhitaji visa, ila kuingia UK utahitaji visa ya UK. Therefore kwenye muungano wao - whatever the muungano is - wana faida za muungano bila kuwa na bugudha za free movement of people, hela nk. Kwa mfano huu, and in the same context, nime suggest Tanzania inaweza kuwa kwenye EAC bila kujiunga na maamuzi ya Kenya, Uganda na Rwanda wasio kubaliana nayo na ambayo hayafai Tanzania kwa sasa. Look before you leap!